WAPENDA MPIRA

WAPENDA MPIRA

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Fashion

News

Sports

Post Top Ad

Recent Posts

View More

Thursday, 5 April 2018

HISTORIA FUPI YA SIMBA SPORTS CLUB KUANZIA MWAKA 1936 -1980

7 years ago 1

Simba SC ni moja kati ya timu nne kongwe kabisa hapa nchini ikianzishwa mwaka 1936 jijini Dar es salaam. Zingine ni vinara Yanga SC 1935, African Sports 1936 na Coastal Union 1938.Simba imepitia majina mengi toka kuanzishwa kwake mpaka sasa. Ili...

Read More

MFARANSA SIMBA SC AITUMIA SALAMU YANGA

7 years ago 0

Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre. KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre ambaye CV yake imewafunika makocha wote walioko Bongo kwa sasa, ametoa angalizo kwamba wanatakiwa kuwa makini kwa siku 24 kuanzia leo Jumatano, ...

Read More
7 years ago 0

Timu ya Simba itawakosa wachezaji watatu muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Taarifa hizo zimekuja muda mfupi baada ya timu hiyo kumaliza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Njombe Mji juzi kwenye Uwanja wa Sa...

Read More

MKWASA KAFUNGUKA KITU KINACHO MKERA KWA MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA

7 years ago 0

‘ishu’ ya mashabiki wa Simba na Yanga kushangilia wapinzani wa nje pindi timu hizo zinapokuwa zinacheza mechi za kimataifa kumbe ni kero pia kwa Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa. Mkwasa amesema jambo hilo ni miongoni mwa vitu vin...

Read More

KUZIONA YANGA VS WELAYTA VIINGILIO VYAWEKWA WAZI

7 years ago 0

Mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya Welayta Dicha utapigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumamosi, April 07 2018.Tayari viingilio vya mchezo huo vimewekwa hadharani a...

Read More

TUZO YA MCHEZAJI BORA EPL NI YA KEVIN DE BRUYNE NA MOHAMED SALAH

7 years ago 0

VITA  kubwa  kwenye Ligi Kuu ya England sasa imehamia kwenye tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ligi hiyo am­bapo wanaume wawili wana­pambana vikali. Vita hiyo ipo kati ya kiungo wa Man­chester City, Kevin De Bruyne, na mshambuliaji wa Liv...

Read More

Saturday, 31 March 2018

HII HAPA HABARI MPYA KUHUSU KAMUSOKO NA DONALD NGOMA

7 years ago 0

Baada ya kuwasilini mjini Singida salama jana, kikosi cha Yanga kinafanya mazoezi ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Namfua. Yanga iliwasili mjini humo ikiwa ina kibarua cha mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Singida United utakaop...

Read More
Page 1 of 212Last

Post Bottom Ad

Kurasa

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *